MASKINI WASTARA APATA AJALI NYINGINE LEO ASUBUHI

Mcheza filamu wa kike mwenye jina kubwa bongo Wastara Sajuki usiku wa kuamkia leo amepata ajali ya gari akitokea sheri kununua mafuta na kupata maumivu ya kichwa.clip_image001Wastara amesema alishangaa kuona gari lake likibamizwa pembeni ambapo likadumbukia kwenye mfereji na yeye kujigonga kichwani
“Mimi ninachokumbuka nimetoka sheri vizuri lakini gafla kama gari langu lilibamizwa na gari nyingine na kutumbukia kwenye mfereji”

>>BONGOCLANTZ

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post