Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi anayewakilisha Wilaya ya Lindi Mjini Mama Salma Kikwete akimnadi Mgombea wa Udiwani wa Kata ya Kiwalala kupitia CCM, Bwana Shineni Hamis Zahoro wakati wa sherehe za miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa katika kijiji cha Kiwalala terehe 1.2.2014.Mama Kikwete akimwaga sera za CCMKichekoNgoma ya Tambiko inayochezwa na wananchi wa kabila la wamakonde nayo ilikuwa ni kivutio tosha wakati wa sherehe za uzinduzi wa miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi zilizofanyika kimkoa kwenye kata ya Kiwalala, Lindi Vijijini tarehe 1.2.2014.Mke wa Rais na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi ,Mama Salma Kikwete akiteta jambo na Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi Dr.Maua Daftari (katikati) huku Mwenyekiti wa CCM wa Wilaya ya Lindi Vijijini akisikiliza wakati wa uzinduzi rasmi wa kumbukumbu ya kutimiza miaka 37 ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Lindi zilizofanyika katika Kata ya Kiwalala iliyoko Lindi Vijijini tarehe 1.2.2014.
Picha na John Lukuiwi.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.