LIVE UPDATES:: SIMBA NA JKT UWANJA WA TAIFA

clip_image001Wachezaji wa timu ya JKT Ruvu wakishangilia mara baada ya kuitandika Simba bao la pili.clip_image001[5]Mchezaji wa Timu ya JKT Ruvu, Emmanuel Switta akimpeleka markiti Golikipa wa timu ya Simba, Yaw Berko kwa mkwaju mkali wa Penati na kuiandikia timu yake bao la pili katika Mchezo wa Ligi kuu Tanzania bara, unaoendelea hivi sasa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. hadi mapumziko Simba wamelala kwa Bao 2 - 0. kipindi cha pili kimeanza hivi punde na tutaendelea kujuzana kinachojili.

GOOOOOOOOOAAAAAAL JKT RUVU wanafunga goli la 3. . Emanuel Swita anafunga goli la tatu hapa

JKT RUVU 3 SIMBA 0

Simba wanapata Penalt hapa

Goooooooooaaaaaal Tambwe anaipatia Simba Goli la Kwanza Hapa JKT RUVU 3 SIMBA 1

Mchezaji wa JKT ruvu Damas Makwaya anapewa kadi nyekundu
JKT ruvu 3 simba 1

DK 84 Gooooaaaalll….!!

Dakika ya 38 ya kipindi cha pili Hamisi Tambwe anaipatia goli la Pili Timu ya Simba

JKT RUVU 3 SIMBA 2

BADO DAKIKA 3 MPIRA KUMALIZIKA…UWANJA WA TAIFA

REFALII AMEONGEZA DK 5

KATIKA MECHI NYINGINE CHAMANZI HADI SASA NI PRISONS kikosiDakika ya 80. Azam 2- 2 Prisons. Mechi imekuwa ya kuviziana na Azam hawaonekani kuwa na presha ya kutafuta bao lingine, mpira unachezwa sana katikati ya uwanja huku Prisons wakilisakama lango la Azam kwa nia ya kusawazisha ila walinzi wa Azam, Nyoni upande wa kushoto, Mwantika upande wa kulia na wale wa kati , Aggrey na Mourad wanaonekana kwa imara

KUTOKA UWANJA WA TAIFA SIMBA YAKUBALI KICHAPO CHA MAGOLI MATATU KWA YALE YA TAMBWE MAWILI.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post