KUTANA NA MWANADADA MWENYE VISA KULIKO WOTE NCHINI NIGERIA

cossyWengi wenu mtakua mnamjua au mmeshawahi kusikia jina Cossy Orijakor aka Miss Boobie. Kama bado basi ninakujuza kuwa Cossy ni actress na muimbaji kutoka nigeria ambaye amepata kujulikana sana nchini humo kwa vituko vyake hususani kwenye mitandao ya jamii kama Facebook, Twitter, Blogs na websites.cossy.2Muonekano wa Picha ya Juu akiwa kwenye Sexy Costume party Ndani ya Club Moja ya Usiku siku ya Valetine.

Na picha za hapa chini ni Picha zake mbalimbaliclip_image001

clip_image001[6]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post