Baada ya Lady jaydee kusumbua siku kidogo zilizopita kwa kuweka picha za gari lake, Bob Junior nae ameamua kuweka picha ya gari lake aina ya Jeep Nyeupe.itazame hapa chini
Msanii huyo amelionyesha gali hilo kupitia Akaunto yake ya Instagram na Kunena maneno haya “ Katika Maisha Ya Binadamu usimtegemee sanaa but mwamini Mungu mziki unalipa love u my Car” alimaliza kwa post hiyo.
Tags
HABARI ZA WASANII