HATIMAE DIVA ATHIBITISHA UHUSIANO WAKE NA KING GK, TEAM CHAGA BARBIE ILIKUWA SAHIHI

Sio siri tena, Loveness Diva na Gwamaka Kaihula aka King Crazy GK ni wapenzi.diva & gkMtangazaji huyo wa Clouds FM, amepost picha yake na rapper huyo kwenye mtandao wa Instagram na kuandika:

“My King…. My GK. Gwamaka Wangu…… My friend. My guardian Angel. My hero.. My Baby. My Everything. With You By myside… I’m happy. das all i need .. to Be happy… ️…… #King&TheQueen.”

Tetesi za kuwa mastaa hao ni wapenzi zilianza kusambazwa na akaunti ya TeamChaggaBarbie ambayo ilimlazimu Diva kujibu: Kama hukuwahi kusoma Majibu hayo Bofya Hapa

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post