HAPPY BIRTHDAY MDAU HAPPY LUCAS KWA KUTIMIZA MIAKA KADHAA…!!!

996662_230123960488647_1264137618_nLeo ni siku ya Kuzaliwa Kwa mdau wetu Happy Lucas ambaye anatimiza miaka kadhaa tangu kuzaliwa kwake. Mdau huyu ni Mshabiki mkubwa wa Timu ya Washika Bunduki pale Uingereza sasa Leo hii Tunamuombea aweze kusherehekea vyema siku yake hii kwa Ushindi Mnono kwa Timu yake Pendwa ya Arsenal Itakapo Menyana na Mabingwa wa Ujerumani Timu ya Buyern Munich hapo kesho uwanja wa Emirates KATIKA KOMBE LA MABINGWA WA ULAYA
Na huu ndio Ujumbe wake alioweza kuutoa siku ya leohappy lucasKwanza kabisa napenda kumshukuru Mungu aliyenipa afya njema na kuniwezesha kufikia siku ya leo na pia napenda kuwashukuru wazazi wangu kwa malezi yao toka nlipozaliwa mpaka leo hii....pia napenda kuwashukuru ndugu, jamaa na marafiki zangu wote kwa kuwa nami mpaka siku ya leo ambapo nashekerekea siku yangu ya kuzaliwa kwa kweli nawapenda sana
Na kwa wale wanaoulizia keki basi keki ndo hiyo hapo kama unavyoiona so cha kufanya we chukua kipande chako hapo na kuhusu mahala patakapofanyika sherehe wala msijali karibu sana kesho katika uwanja wa Emirates hapo ndipo patakapofanyika hiyo sherehe kuanzia saa 4:45 usiku karibu sana

UNAWEZA MFOLLOW ON FACEBOOK HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post