Wapendwa wasomaji wetu kama tulivyo wajuza wiki kadhaa za nyuma kutakuwa na GIFT BOX kwa ajili yenu wasomaji wetu na Leo ndio mwanzo wake hii ni kuzidi kuonesha jinsi tunavyowajali leo tunatoa muda wa maongezi wa Tsh 5,000/= kwa Mtu wa kwanza atakayetabiri sahihi matokeo ya mechi ya Ligi Kuu Bara kati ya Yanga na Mbeya City mechi itakayopigwa Uwanja wa Taifa, Dar.
MASHARTI:
- Coment zote zitolewe katika Coment Box ya Blog na sio katika Page yetu
- Mwisho wa Kutoa Utabiri wako ni Nusu saa Kabla ya Mechi hiyo Kuanza
- Lazima Uwe umelike Page Yetu ya Facebook Kama bado Tafadhali Bofya Hapa
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.