Si vibaya, siku moja ukikaa na umpendae na kumwambia asante kwa yote alokufanyia, mko wote long time mnapendana, mnaheshimiana, hayo ni maneno ya AY yakisikika kwenye Interview ndani ya XXL YA Clouds Fm na pia kwenye intro ya wimbo wake aliouachia leo hii."Wimbo huu nimefanya na mwanadada "Della" kutoka Kenya ambae ameshawahi kufanya collable na Sauti Souls, na ni maalum kwa wale wapendanao" alifunguka zaidi AY.