Msanii wa kike kutoka nchini kenya , Avril anategemea kufunga pingu za maisha mwezi wa nne mwaka huu. Avril ataolewa na mchumba wake mtoto wa tajiri kutoka South Africa ambaye familia yao inamiliki machimbo ya madini nchi za South Africa na Zimbambe.Harusi hiyo inategemea kufugwa hapahapa Tanzania katika kisiwa cha zanzibar . Wameamua kuchagua Tanzania ili kubalance pande mbili na mwezi wa 4 sababu ndio mwezi aliozaliwa avril.Avril alishawahi post katika mitandao ya kijamii mwishoni mwa mwaka jana picha ya pete yake ya uchumba aliyovishwa na mpenzi wake, lakini mashabiki wa msanii huyo walikuwa wana hamu ya kumjua au kuona picha ya mvulana ambaye amebahatika kumvisha pete ya uchumba mwana dada Avril.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.