Mfanyabiashara maarufu wa magari jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Juvenali amekumbwa na aibu ya mwaka baada ya kunaswa mtupu chumbani na mmoja wa wabunifu wa mavazi ‘modo’ maarufu Bongo (jina tunalihifadhi kwa sasa kwa sababu za kimaadili).
Tukio hilo la aibu lilimkuta mfanyabiashara huyo nyumbani kwake, Mbezi ya Tangi-Bovu jijini Dar es Salaam hivi karibuni ambapo wawili hao walinaswa chumbani wakiwa watupu katika mtego maalum.
OFM
OFM kama ilivyotambulishwa awali, ipo kwa ajili yako wewe Mtanzania unayeona uovu katika jamii na vyombo husika vikashindwa kuchukua hatua, kwa OFM kila kitu kinawezekana! Wanaweza kuingia popote na kuchunguza uovu wowote kwa mafanikio makubwa – tuletee kazi tutaifanya.
Tukio Kamili Hili Hapa Kwenye Video Hapa chini