ANGALIA PICHA ZA UTENGENEZAJI WA VIDEO YA WIMBO WA KOMBE LA DUNIA, JENNIFER LOPEZ NA PITBULL

clip_image001Wiki hii mwanamuziki Jennifer Lopez alikuwa busy sana katika  kushoot video mbili za muziki.

Ya kwanza ni video ya wimbo wake aliofanya na Ricky Martin uitwao “Adrenalina.” Na baadaye huko Fort Lauderdale, Florida JLO na Pitbull walishoot video ya wimbo wao maalum wa kombe la dunia Brazil 2014, “We are One (Ole, Ola).” Video hiyo ilifanyika jijini Miami.

Tazama picha hapa chini.clip_image001[6]

clip_image001[8]

clip_image001[10]

clip_image001[12]

clip_image001[14]

clip_image001[16]

clip_image001[18]

clip_image001[20]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post