Unknown Unknown Author
Title: SHAMSA FORD AFUNGUKA KILICHOMKUTA UKWENI, SOMA HAPA NI NOUMER
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson m...

MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Shamsa Ford amejikuta katika wakati mgumu baada ya kukutana na mila za kabila la mumewe mtarajiwa, Dickson mwenye asili ya Musoma Vijijini, mkoani Mara

SHAMSA21Shamsa Ford.

Akizungumza na mwandishi wetu ndani ya Viwanja vya Leaders Club Kinondoni jijini Dar, msanii huyo alisema alikutwa na magumu hayo mwishoni mwa mwezi uliopita alipokwenda kutambulishwa ukweni huko.

Alisema, tofauti na alivyozoea, alilazimika kupika ugali mkubwa wa kulisha zaidi ya watu thelathini, kuchanja kuni porini, kufuata maji umbali wa kilometa tatu kutimiza wajibu wa mwanamke.

“Ilikuwa balaa, nilikutana na wakati mgumu sana ukweni, kupika ugali mkubwa, halafu ugali wenyewe ni wa mtama na muhogo, si mchezo,” alisema Shamsa.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top