Unknown Unknown Author
Title: RAIS WA ZANZIBAR DKT. SHEIN AFUNGUA MAONESHO YA MIKA 50 YA MAPINDUZI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanz...

clip_image001Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shambra shambra za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili  wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.

clip_image002Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Wananchi katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika.

clip_image002[5]Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa  kwa  Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi.

clip_image002[7]Baadhi ya watoto na Vijana wakishuhudia matukio muhimu katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras.

clip_image002[9]Baadhi ya waandishi wa habari nao walikuwapo kunasa matukio na habari.

clip_image002[11]Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili  wa Rais,Dk Khalid Salum,akitoa shukurani zake pia kumkaribisha Waziri wa Ofisi hiyo katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi.

clip_image002[13]Viongozi mbali mbali na wananchi waliohudhuria katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras, katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi.

Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top