DIAMOND PLATNUMZ APAGAWISHWA NA MAUNO YA SHABIKI HUYU HADI KUAMUA KUMPAPASA LIVE

clip_image001MSANII mahiri wa Muziki wa kizazi kipya nchini Diamond akijaribu kumpapasa mrembo ambae ni mmoja wa mpenzi wa Muziki huo kwenye show ambayo aliifanya mwishoni mwa mwezi Juni katika Ukumbi wa Frankaman Hotel Tabora.
Mpenzi huyo alipagawishwa vizuri na Msanii huyu hadi kuamua kupanda jukwaani na kukata mauno hapo ndipo Diamond naye aliposhindwa kuvumilia na kuamua Kumpongeza kwa Kukipapasa Kiuno chake.
Like Page yetu Kuangalia Picha zaidi Bofya Hapa 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post