Unknown Unknown Author
Title: VJ PENNY AMALIZA MWAKA KWA KUTUKANWA KUPITIA MTANDAO WA ISNTAGRAM…!!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Maskini Penny anamaliza Mwaka Vibaya kwa Kuandamwa na wabaya wake kwa matusi yanayotolewa kupitia mtandao wa Instagram kupitia akount moja i...

clip_image002Maskini Penny anamaliza Mwaka Vibaya kwa Kuandamwa na wabaya wake kwa matusi yanayotolewa kupitia mtandao wa Instagram kupitia akount moja inayosomeka @djvpeneeynauzak***.

Akaunti hiyo imepost Post mbalimbali zinazomwandama mdada huyo ambae alikuwa na Mahusiano na Msanii Diamond Platnumz Na hivi karibuni imeripotiwa kuwa wametengana…Sasa haijajulikana Huyu mwenye akaunti hii dhumuni lake ni lipi.

Unaweza kuona Moja ya Post hiyo hapa chini:clip_image001

<<<BOFYA HAPA KUSOMA UJUBE WOTE>>>

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top