Ditto akiwa katika banda la kuku
Msanii wa THT Lameck Ditto amesema ingawa anafanya muziki pia anafanya shughuli nyingi za ujasiriamali kikiwemo kilimo na ufugaji.
Akizungumza na Bongo5 leo, Ditto amesema ni muda mrefu sana amekuwa akijishughulisha na kilimo na ufugaji, shughuli ambazo zinamwingizia kipato kwa kuendesha maisha yake.
Hivi karibuni Ditto amekuwa akipost picha kwenye Instargam kuonyesha harakati zake za kilimo na ufugaji.
SOURCE: BONGO 5
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.