USITHUBUTU KUNASWA NA CAMERA YETU: DEREVA BAJAJI SHELI YA MAFUTA
byUnknown-
0
Waendesha Bajaji wamebuni njia mpya ya kujaza mafuta katika Bajaji zao kama ilivyo shuhudiwa katika kituo kimoja cha mafuta cha Camel kilichopo Mbezi kwa Yusufu jijini Dar es Salaam.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...