NI AJABU LAKINI IMETOKEA: BAADA YA MIAKA 16 MIKE TYSON AREJESHA SIKIO LA EVANDER

Hii ni Moja ya kihoja ambacho kiliwaacha midomo wazi watu wengi, ni baada ya Mike Tyson Kurudisha sikio alilomnyofoa mwenzake 
Evander Holyfield... Sasa hivi ndivyo ilivyo kuwa...

clip_image001Hapa Mchezaji wa ngumi Mkongwe akiwa anabisha hodi na kuingia nyumbani kwa Evander Holyfield kumkabidhi sikio lake huku akiwa na sura ya wasiwasi akiogopa anaweza pigwa sumbwi clip_image001[5]Evander Holyfield akimpokea Mike Tyson huku akiwa na maneno mengi anayo yawaza asijue Tyson alimletea nini...

clip_image001[7]Evander Holyfield anamkaribisha hapa Mike Tyson anaomba msamaha kwa mpinzani wake ,, anamwambia hivi" Ebwana nisamehe sana mtu wangu hili sikio lako mimi nimelihifadhi kwa miaka yote hii 16, sasa nimekuletea"

clip_image001[9]"Oh my Goodness yaani kweli hii safi sana nililimisi sana sikio langu kwa Muda wa miaka yote 16, Asante sana" alisema Evander Holyfield

clip_image001[11]Anatabasamu

clip_image001[13]Evander Holyfield sasa wamerejea kuwa Marafiki wa mara nyengine tena

clip_image001[15]Hivi ndivyo Evander Holyfield alivyo katwa sikio

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post