AHADI NI DENI::: MTANGAZAJI ATEKELEZA AHADI YAKE YA KUTANGAZA HABARI UCHI CHEKI VIDEO

clip_image001Mwanadada Doria Tillier ametekeleza ahadi yake ya kutangaza taarifa ya habari ya hali ya hewa kwenye kituo kimoja cha Televisheni akiwa uchi.

Mwanadada huyo alitoa ahadi kama Ufaransa itafanikiwa kurudisha mabao 2 waliyokuwa wamefungwa na Ukraine kwenye mchezo wa kwanza wa kufuzu fainali za kombe la Dunia basi angetangaza taarifa ya habari akiwa kwenye hali ya utupu.

Kwenye mchezo wa marudiano Ufaransa ilifanikiwa kuitandika Ukraine mabao 3-0 na kufanikiwa kukata tiketi ya kwenda Brazil mwakani.

<<<BOFYA HAPA KUICHEKI VIDEO HIYO>>>

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post