LIVE KUTOKA SERENA HOTEL KATIKA MKUTANO WA ZITTO NA WANAHABARI

clip_image001[9]Mbunge wa Kigoma Kaskazini Chadema, Zitto Kabwe akiongea na wanahabari katika Ukumbi wa mikutano uliopo ndani ya hoteli ya Serena Posta jijini Dar es Salaam.

clip_image001[5]Dk. Kitila Mkumbo naye akiongea na wanahabari.

clip_image001[7]Wanahabari wakichukua matukio katika mkutano huo na wanahabari.

HABARI KAMILI ENDELEA KUTEMBELEA MTANDAO HUU, LIKE PAGE YETU YA FACEBOOK ILI UWEZE KUPATA UPDATES MARA TUNAPOWEKA HABARI BOFYA HAPA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post