KOMBE LA DUNIA LATUA JIJINI DAR, WANANCHI KULIONA TAIFA LEO

clip_image002Kombe la Dunia tayari limetua jijini Dar es Salaam ambapo limepokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere na kutolewa kwa msafara wa magari 10 aina ya Hyundai. Watanzania watapata fursa nyingine ya kuliona kombe hilo hapo LEO katika Uwanja wa Taifa jijini Dar kuanzia saa 3 asubuhi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post