Rapper na mfanya biashara mkubwa 50 Cent amefungua orodha ya wasanii wasio vuta wala kutumia kilevi chochote. Nakusanua kuwa anapenda kuonekana anafanya vitendo hivyo kwenye filamu na video zake ila kwenye maisha ya kweli hapendi kabisa pombe wala kuvuta sigara.
Hawa ni wasanni wengine walio kama 50 cent cheki hapa
Source-hiphopwired.com
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.