Mtanzania, Malkia Kassu ( wa tano toka kushoto) akiwa na washindi wenzake - wote wamevalia taji na kubeba vikombe vya ushindi. Picha na Jay Pedram
Malkia Kassu akipongezwa na marafiki, Andrew Matt na Aisha Mohammed. Picha na Jay Pedram
PONGEZI TOKA UBALOZINI: Kutoka kushoto ni mdhamini, Ali Sungura, Balozi wetu Uingereza , mheshimiwa Peter Kallaghe, sahiba mkuu Aisha Mohammed na Afisa Ubalozi, Allen Kuzilwa. Picha na Ali Surur na habari imeandikwa na Freddy Macha
Tags
HABARI ZA KITAIFA