GHANA YAFUZU KUMBE LA DUNIA 2015 NCHINI BRAZIL

clip_image002Timu ya Taifa ya Ghana ikiwaimewekapoz kwa picha kabla ya mpambano wa kufuzu ikiwa ni mechi ya pili baada ya mechi ya kwanza kupata matokeo ya 6 –1  na Egypt.

clip_image002[5]Timu ya Taifa ya Egypt’s Ikipata picha ya pamoja Kabla ya Mchezo wa Leo wa Kufuzu kumbe la Dunia 2015 Brazil, ikiwa ni mechi yao ya marudiano baada ya kupokea kichapo cha goli 6 – 1 dhidi ya Ghana.

clip_image002[7]Ghana's player Edwin Gyimah (L) fights for the ball with Egypt’s player Mohamed Mohamed Nagy (R) during their WC2014 African zone football qualifier second leg play-off, in Cairo, on November 19, 2013. Ghana is leading lead 6-1 after the first leg

Mechi hiyo iliisha kwa matokeo ya Goli Egypt 2  - 1 Ghana

Ghana inakuwa timu ya 4 kufuzu Afrika kwa jumla ya bao 7 - 3 baada ya Cameroun, Ivory Coast na Nigeria.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post