DIVA WA CLOUDS FM NDIO HABARI YA MUJINI HII NI BAADA YA KUJITONGOZESHA KWA HUYU JAMAA

clip_image003Mwanadada mtangazaji Diva aka the Bawse, yupo tayari kubadili dini ili aweze kuolewa na mwanaume aitwaye Omar Borkan, na wala mtangazaji huyo hatojali hata akiwa mke wa ngapi, ilimradi aolewe na mwanaume huyo.

Kupitia mtandao wa instagram mtangazaji huyo alipost picha ya mwanaume huyo na kuandika manano haya ” Hata dini ntabadili wallah… Anioe tu huyu kaka … Hata mke wa ngapi poa @omarborkan isn’t he just a cute man on earth guys? ”clip_image002clip_image002[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post