WAKE NA WAPENZI WA WACHEZAJI WA MAN UNITED WAZINDUA MFUKO WAO

clip_image001Line up: Bouchra Van Persie, Sam Cooke (Chris Smalling), Helen Evans, Laura Christ (Alex Buttner), Kaya Hall (Phil Jones), Nicky Pike (Ashley Young), Daniela Martins (Nani), Misse Beqiri (Anders Lindegaard)

Wakati Manchester United ikionyesha soka bovu katika mchezo ambao walifungwa mabao 2-1 Jumamosi na West Bromwich Albion, lakini wake na marafiki wa kike wa wachezaji wa klabu hiyo hawakuwa katika huzuni mbali ya kutokelezea kiurembo zaidi katika siku ambayo walikwenda kuzindua mfuko wao maalumu uliotambulika kama 'United foundation ladies lunch.
Picha Zaidi Hapa
Georgina Dorsett ni girlfriend wa Tom CleverleyDaniela Martins ni girlfriend wa Luis NaniAnna Vidic mke wa mlinzi Msebia Nemanja VidicLisa Carrick mke wa kiungo Michael Carrick toka 2007Kaya Hall mpenzi wa Phil Jones kulia na Bouchra van Persie mke wa Robin van Persie

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post