Usher yeye ana mpango wa kupigana ndondi na bingwa (Legend) Sugra Ray Leonard katika filamu ijayo ya stone.Usher amekuwa akijifua kisawsawa ili kuhakikisha kuwa mwili wake unafanana na role atakayocheza kwani kupigana na Sugar Ray hata kama ni kwa kuact si mchezo.
Tags
WATU MAARUFU