Bango la kuingia uwanja wa golf wa Gymkan mkoani morogoro ambapo ulichezwa mchezo wa kumpongeza miss tanzania 2013
Afisa uhusiano wa kamati ya Miss tanzania akiwa na miss tanzania katika picha ya pamoja
Miss tanzania namba tatu Clara Bayo Akikabidhi zawadi ya mshindi wa kwanza wa mashindano ya kumpongeza Miss tanzania 2013
Mama Sherida chilipochi akipokea zawadi ya jumla kwa wanawake kutoka kwa miss tanzania namba mbili Latifa Mohamed
Miss tanzania hapiness Akimkabidhi zawadi Mshindi wa jumla Hassan Dendegu mara baada ya kumalizika mashindano ya kumpongeza miss tanzania yaliondaliwa na chama cha golf mkoa wa morogor leo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA