MBEBAJI ALA KICHAPO NA BOSI WAKE BAADA YA KUMTUPA NDANI YA MAJI–MAGOMENI DSM

clip_image002Dada akiwa amebebwa alipokuwa akivushwa kwa malipo kwenye dimbwi la maji ya mvua eneo la Magomeni Kagera, Dar es SalaamMbebaji akiwa amemwangusha dada huyo kwenye dimbwiDada akimkunja kijana aliyemdondosha kwenye dimbwi. Wasamaria wema wakimsaidia dada kumtoa kwenye dimbwiDada akilia baada ya kuokolewa.

PICHA ZOTE NA KHAMIS MUSSA

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post