ANGALIA VIDEO YA RIPORT YA MAUAJI YA WESTAGATE ILIYOUA WATU 69.

clip_image001

Zimekuwa ni siku nyingi za  kubashiri  kuhusu kilichojiri wakati wakenya walipotekwa  nyara na magaidi kwa siku nne mtawalia.

Wakenya  zaidi ya sitini walipoteza maisha yao katika jumba la Westgate lakini  hadi sasa Wakenya hawajajua ukweli kuhusu yaliyojiri katika jumba la  Westgate.

Je ni kweli kuna waliokuwa wametekwa nyara na magaidi na kuzuiliwa katika jumba hilo?

Je ni kweli kuna magaidi waliouawa na wanajeshi?

Meza ya upekuzi ya Jicho Pevu na Inside Story usiku na mchana wamekuwa wakidurusu kila ukurasa na kufanya mahojiano na kupitia hatua kwa hatua video za CCTV kutoka Jumba la Westgate na sasa wako tayari kukusimulia kilichojiri.

ungana na mwanahabari mpekuzi Mohammed Ali kwenye video ya KTN iliyopachikwa hapo chini…

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post