Msanii wa moja ya vikundi vya ngoma vilivyokuwa vikitoa burudani katika maadhimisho ya Tamasha la Jinsia Tanzania akicheza na nyoka aina ya chatu.
Kina mama wa wakicheza kwa kuzunguka duara (mduara) kwenye tamasha lia jinsia.
Tags
HABARI ZA KITAIFA