Unknown Unknown Author
Title: KILI MUSIC TOUR 2013 YAPAGAWISHA WAKAZI WA KIGOMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ziara ya wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2012 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour 2013 iliyopewa kaulimbiu ya Kikwetu kwetu imefanyika mk...

clip_image001Ziara ya wanamuziki waliofanya vizuri mwaka 2012 maarufu kama Kilimanjaro Music Tour 2013 iliyopewa kaulimbiu ya Kikwetu kwetu imefanyika mkoani Kigoma na kuvunja rekodi ya mahudhurio katika uwanja wa Lake Tanganyika baada ya maelfu ya wakazi wa mji wa Kigoma na maeneo ya jirani kufurika kwa wingi kuwashuhudia wasanii wakali 12 waliopanda jukwaani.

Kivutio kikubwa katika tamasha hilo ilikuwa ni wanamuziki wanne wanaounda kundi la Kigoma All Stars, Diamond, Mwasiti, Linex na Recho kupanda mwishoni na kuimba wimbo wao maarufu wa Leka Dutigite na kupata shangwe kubwa toka kwa mashabiki. Hizi ni baadhi ya picha za matukio yaliyotokea.Barnaba On StageMwasiti na Diamond Platnumz (leka dutigite)

Izzo Business
Ben Pol akifanya yake on Stage
Vimwana wakiwa makini kufuatilia tamasha hilo ndani ya Lake TanganyikaTeam Anaconda wakiwa Tayari Kwa ajili ya ShowFid Q on StageLady Jaydee akiwasha Moto wa Yahaya ndani ya Lake TanganyikaLady Jaydee na Prof Jeeezy wakishambulia Jukwaa kwa Ngoma ya Joto HasiraProf Jay Akifanya yake katika Staji ya Kili Music Tour KigomaPicha ya Pamoja ya Baadhi ya wasanii walioshambulia Jukwaa la kili Music Tour 2013 KigomaRoma Mkatoliki Akikonga nyoyo za mashabiki wake ndani ya Lake Tanganyika Kigoma Kili Music Tour 2013Diamond Platnumz Akifanya Yake ndani ya Jukwaa la Kili Music Tour 2013 KigomaSema Kiiiiiiigooooooooomaaaaaaaaaa!!!!!!! aaaaeeee Kigoma……..Leka Dutigiteeeeeeeee………!!!Shangwe zilikuwa Za Kiwango Cha juu kama Ndege ya Obama Chezea KIGOMA WATAKUCHINJAAAA!!!!!!!

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top