Muigizaji maarufu Hapa nchini Tanzania mwana dada Elizaberth Micheal (LULU) ameonyesha kuwa yeye amejaaliwa na vipaji zaidi ya kimoja cha uigizaji na pia anaweza kuimba na kulitawala jukwaa,
Hayo aliyadhihirisha siku ya uzinduzi wa Filamu yake mpya ambayo ipo sokoni hivi sasa inayokwenda kwa jina la Foolish Age na kuonyesha uwezo wa Kuimba wimbo wa YAHAYA wa msanii nguli wa miondoko ya zook hapa nchini tanzania Lady Jaydee.. Hebu tusimalize maneno Mcheki mwenye hapo Chini
Tags
HABARI ZA WASANII