ANGALIA PICHA SHEIKH PONDA ALIVYOFIKISHWA MAHAKANI LEO MOROGORO

clip_image001Sheikh Ponda Akishuka kwenye basi la Magereza tayari kuingia Mahakamani Kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Sheikh Ponda alishatikiwa katika Mahakama Hiyo akikabiliwa na Mashtaka Matatu Ambayo inadaiwa aliyatenda Mkoani Morogoro katika Mkutano Hadhara mwezi uliopita.Kesi hiyo imearishwa tena Mpaka Tarehe 01.10.2013. Mshitakiwa Amenyimwa Dhamana na Amerudishwa Rumande.Sheikh Ponda akiwa Chini ya Ulinzi Mkali wakati akiingia Mahakamani kusikiliza kesi yake inayomkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoani Morogoro.Wafusi wa Sheikh Ponda wakiwa wakiwa mahakamani leo kusikiliza kesi ya Kiongozi wao iliyokuwa imetajwa mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro.Ulinzi Mkali ukiwa umeimarishwa Mahakamani leo wakati kesi hiyo ikiendelea

Picha na MATUKIO NA MICHAPO BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post