WIMBO WA YAHAYA WAZIDI KUFANYA VIZURI CHEKI PESA ALIZOTUNZWA JANA LADY JAYDEE KATIKA UZINDUZI WA FOOLISH AGE

clip_image001[4]Msanii Elizabeth Michael akiwa sambamba na Muimbaji Nguli wa Bongo Lady Jaydee akipafom wimbo wake uliotokea kupendwa na Wengi wa Yahaya katika Uzinduzi wa Filamu Ya Foolosh Age ya Mwana dada LULU siku ya Ijumaaclip_image001Hili ndilo bakuli lilijaa minoti aliyotunzwa msanii Lady JayDee katika Uziduzi wa Filam Ya Foolish Age hapo jana, hii inadhihirisha ni jinsi gani wimbo huu ulivyo teka hisia za mashabiki wake katika anga la muziki wa bongo fleva.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post