VIDEO: FLAVIAN MATATA NA MODEL AJAK(SUDAN) WAKICHEZA “BILA KUKUNJA GOTI”

clip_image001Flaviana Matata ni mmoja kati ya marafiki wakubwa wa Mwana FA na AY na video hii inamuonyesha akiwa na Model mwenzake kutoka Sudan Ajak wakicheza style ya “Bila kukunja goti” ikiwa ni style inayotarajiwa kuwepo katika video ya wimbo wa AY, FA na Jay Martin (Nigeria) “Bila kukunja goti”.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post