Msanii Shilole alipofanya ziara yake nchini Marekani alipata ya kutembelea idhaa ya Kiswahili ya VOA na kufanya mahojiano na mpiganaji Sunday Shomari. Bofya kamshale hapo chini kuungana naye alipokuwa ndani ya studio za VOA akieleza yale aliyoyapata Marekani na siri ya staili ya muziki wake. Hii ikiwa ni sehemu ya Kwanza.source: issamichuzi blog
Tags
HABARI ZA KITAIFA