KIGOMA ALLSTARZ KUFANYA SHOW KUBWA NCHINI RWANDA, DRC-CONGO, KENYA NA BURUNDI

clip_image001Pichani wa tatu shoto,Mratibu wa  Kigoma All Stars-Lekadutigite,Bwa. Sam Odera akimkabidhi kiasi cha fedha Bi.Aisha Amri kwa ajili ya kusaidia Watoto Mayatima wa Burundi,tukio hilo fupi limefanyika leo jijini Dar.Shoto ni wanaoshuhudia tukio hilo ni Bwa.Omar Mwinyi,Manira Mbona na mwisho kabisa kulia ni Maimuna Msangi.Kundi la Kigoma All Stars-Lekadutigite linaloundwa na wasanii mbalimbali mahiri akiwemo Dimaond,Ommy Dimpo,Chege,Baba Levo,Mwasiti Almas,Rachael,Abdul Kiba na wengineo wanatarajiwa kufanya ziara kubwa ndani ya nchi ya Tanzania,Rwanda,DRC-Congo,Kenya pamoja na Burundi

SOURCE: Issamichuzi Blog

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post