Gari aina ya Halier Yenye namba za Usajili T 970 BMP imetumbukia mtaroni Katika Barabara ya Ghana manispaa ya Lindi Mkabala kabisa na Paris Club Hivi Punde lakini kwa Jitihada za wasamalia wema wamejitahidi na Kuitoa Mtaroni na mmiliki wa gali hilo kuweza kuendelea na Safari yake
Vijana wakidai posho kutoka kwa dereva wa Gali hilo ambaye hakuweza kufahamika Jina lake….
Tags
HABARI ZA KITAIFA