Basi la abiria la livai linalofanya safari zake Kutoka Dar es salaam kwenda nachingwea limepata ajali eneo la Mkuranga Mkoa wa Pwani na kuumia vibaya sehemu ya mbele hadi sasa haijathibitishwa kifo chochote kutokea. Habari zaidi zitawajia hapa hapa Endelea Kuwa nasi
Tags
HABARI ZA KITAIFA