Diamond Platnumz alithibitisha kuwa ndiye msanii anayependwa zaidi Afrika Mashariki baada ya mashabiki wa Mombasa kuwarushia chupa wasanii wengine waliokuwa wakitumbuiza wakimtaka yeye apande kwenye stage baada ya kumsubiria kwa muda mrefu.
Tuache kuongea sana hivi ndivyo Diamond alivyotisha! Check Video
Tags
HABARI ZA WASANII