BREAKING NEWS: SHEIKH PONDA AJERUHIWA NA RISASI MJINI MOROGORO

clip_image001Habari zilizotufikia muda huu Sheikh Ponda ajeruhiwa kwa risasi mjini morogoro katika Mkutano wa Muhadhara, Machafuko hayo yalitokea baada ya kuisha kwa Muhadhara huo wakati wakeielekea Katika Msikiti wa Mungu mmoja wakati wako njiani walipigwa mabomu ya machozi na Kupigwa Risasi na ndipo Sheikh Ponda alipo jeruhiwa…Hadi sasa Haijajulikana Wapi alipo.

Endelea kuwa nasi Tutaendelea Kuwajuza nini Kinaendelea

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post