ANGALIA PICHA ZA AWALI MHADHARA ALIOFANYA SHEIKH PONDA MOROGORO LEO

PICHA BAADA YA MABOUMU YA MACHOZI KUPIGWALeo kwenye kongamano la kuita umoja wa waislam katika yanayo wakabili waislam mkoani Morogoro..Kongamano lillienda vizuri likiwa limepambwa na mashekh wakubwa wakubwa kama vile Riko, Mwaipopo, Kondo pamoja na shekh Ponda. Shekh Ponda alikuwa wa mwisho kutoa mawaidha na aliaga waislam ili aweze kuelekea Msikiti wa Mungu mmoja hivyo waislam walitaka kumsindikiza Shekh Ponda mpaka Msikiti wa Mungu mmoja. Maaskari waliovalia nguo za fild force wakiwa kwenye defender waliingia na kuanza kuifuata gari kwa nyuma. Waislam waliendelea kuizunguka gari ya Shekh ponda ila maaskari walianza kupiga mabomu ya machozi ili kuwatawanya wananchi kisha kuifukuza gari ya shekh Ponda.

Source: audifacejackson

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post