Mafuriko yalioliotokea upande wa North Japan baada ya mvua kubwa sana kunyesha umeatarisha maisha ya watu baada ya nyumba zao kuchuliwa na mafuriko hayo huku watu wapatao watano wemefariki dunia kutokana na mafuriko hayo
Magorofa mengi yameanguka na watu kukosa sehemu za kuishi na pia kupoteza vitu vyao vya dhamaniJumba lililo anguka na kusababisha vifo vya watu watano
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.