Baadhi ya maofisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji waliwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Kaimu Kamanda wa Jeshi hilo mkoa wa Katavi, Mrakibu msaidizi, Mohamed Madulika, mara baada ya kifikishwa nyumbani kwake , Kijiji cha Mikongeni, Kata ya Mzumbe, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro kwa ajili ya utaratibu wa mazishi , Madulika alifariki dunia kwa ajali ya gari Augoti 5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga wakati akielekea mkoani Katavi akitokea Jijini Dar es Salaam na mazishi yake yamefanyika Augost 8, mwaka huu kijijini hapo.Kuswaliwa kwa Mwili kabla ya kwenda Mazikoni.Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,Faustine Shilongile akiweka udongo kaburini.Mazishi yakiendelea.Luteni Kanali , Lidwino Simion Mgumba, Naibu Kamishina Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji nchini, Augt 8, mwaka huu akiweka udogo ndani ya kaburi anamozikwa Kaimu Kamanda wa Jeshi hilo mkoa wa Katavi, Mrakibu msaidizi, Mohamed Madulika , eneo ka Kijiji cha Mikongeni , Kata ya Mzumbe , wilayani Mvomero , mkoa wa Morogoro , baada ya kufariki dunia kwa ajali ya gari Augoti 5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga akielekea mkoani mwake alipokuwa akitokea Jijini Dar es Salaam.DuaBaadhi ya Maofisa wa ngazi za juu wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji pamoja na Majeshi mengine , wakitoa saluti ya heshima ya mwisho mara baada ya kukamilika kwa mazishi ya Kaimu Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji wa mkoa wa Katavi, Mrakibu msaidizi, Mohamed Madulika, katika makaburi ya Kijiji cha Mikongeni, Kata ya Mzumbe, Wilaya ya Mvomero, mkoani Morogoro , Madulika alifariki dunia kwa ajali ya gari Augoti 5, mwaka huu ,Wilayani Sumbawanga wakati akielekea mkoani Katavi akitokea Jijini Dar es Salaam na kuzikwa Augost 8, mwaka huu Kijiji hapo.Heshima za Mwisho kwa Marehemu.Sehemu ya Waombolezaji wa Msiba huo.Picha na John Nditi.
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» ALIYEKUWA KAIMU KAMANDA WA JESHI LA ZIMAMOTO NA UOKOAJI MKOA WA KATAVI , AZIKWA KATIKA KATA YA MZUMBE, WILAYA YA MVOMERO
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.