BAD NEWS: MAMA MZAZI WA MSANII SHAA AFARIKI DUNIA

clip_image003Mwanadada SHAA ambaye anafanya Game ya Muziki wa Bongo Fleva, Amefiwa na mama mzazi.
Tunatoa pole sana kwa Kwa shaa pamoja na Familia yake pia Mungu ampe Nguvu katika kipindi hiki cha Msiba

Bwana ametoa na Bwana ametwaa..........

SOURCE: HZB

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post