Unknown Unknown Author
Title: SIMULIZI YA “PLAY BOY” IKIWA NI SEHEMU YA TATU
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai) Sehemu: 3 Mtunzi: Andrew Carlos Simu: 0713 133 633 Ilipoishia jana.. "why isiwe leo jaman helleine...

clip_image002Simulizi: Play Boy (Jeff wakujidai)
Sehemu: 3
Mtunzi: Andrew Carlos
Simu: 0713 133 633

Ilipoishia jana..
"why isiwe leo jaman helleiner...? Nitateseka usiku helleiner mpenzi..."
"na bleed ndo mana nakwambia hivyo jef, cku nyingne tutasex niamini pliz.."
Niliona kama ananidanganya hivyo kilichofanyika nikamlegeza upya mpaka akalegea na nilipomvua chupi tu nilikutana na pedi tena ina damu damu nikiwa bado nashangaa mara ile nachungulia dirishani tu macho yangu yakakutana na tax ikishusha mizigo kwa nje huku nikimshuhudia kama maza ake na mshikaji aliyeniachia getto akishuka kwenye ile gari...
Songa nayo…
Niligeuza macho yangu mara mbili mbili huku nikiangaza nje kwa kupititia dirishani na tayari nilikuwa kama mtu aliyechanganyikiwa vile..,
"vip jef unamatatizo gan mbona umebadilika ghafla...?"
"mhh..! ahh..! ahh..! ahh..!hamna kitu mpenzi...!"
Nilijitahidi kuwa kawaida lakini bado akili yangu haikuwa fresh kabisa mpaka pale nilipomuona yule mama kama kweli anakuja humu ndani au la, alipomaliza kushusha mizigo yake nilishuhudia akija kupokelewa na ndugu zake ndipo nikashusha pumzi chini nakuamini kuwa nilimfananisha kumbe haikuwa nilivyofikiri.
Mzuka wa ajabu ulikuwa umeshanianza tena pale pale nikamgeukia helleiner,
"..jef c nimekwambia na bleed hunielewi...?"
"nashindwa kuzuia hisia zangu mpenzi pliz..."
"haya tu sex hivi hivi na damu c ndo unavyotaka..?"
"hapana helleiner ila..."
"...ila nini....? Ona unachotaka kukifanya..?"
Dah kumbe kweli alikuwa aki bleed.
"...embu nielekeze chooni wapi...?"
"pita kuleee..."
Fasta fasta alielekea chooni nakuniacha pale nikiwa sebuleni na ki boxer changu.
Ndani ya muda mchache alikuwa keshamaliza akarudi.
"jef, nilikuwa nakuongopea mwenzio si bleed na hapa nilipo umeniamshia nyege zote yani hapa cjielewi elewi kabisaa...!"
Nilibaki cjiamini amini kwa anachosema but ilinibidi kuanza kuamini kwa sababu alikuja ameshikilia chupi mkononi huku akionekana hana damu damu yeyote kuashiria ana bleed.
"helleiner..? twende huku.."
"wapi tena..?"
"huku chumbani.."
Niliondoka naye mpaka chumbani huku nguo zetu tukiziacha sebuleni, kweli jef mi nilipatikana kwani alikuwa ni Play Gal kwa kuwa alinidanganya ana blded wakati sivyo,
Tulijirusha kitandani na kuanza mautundu yote huju vidole vyangu vikifanya kazi haswa kwani nilimdumbukiza mdomoni kidole kimoja huku akikilamba kwa dizaini ya romance na kisha baada ya hapo nilimnyonya maskio yake haswa mpaka macho yake yakamlegea,
"jef tufanye pliz tufanye mwenzio na.."
"uhh.., uhh.., subiri ohh.., ohh.., sweetie...!"
Nilimdanganya kwa sauti ya mahaba huku nikiutelezesha ulimi wangu kwenye chuchu zake nakuzinyonya, tukiwa tumenogewa na mapenzi mara simu ya helleiner ikaita,
"...achana nayo dia tuendelee tu.."
Tuliendelea nakuanza kusex naye mpaka akalegea na mwili kumchoka huku akionesha kushikwa na usingizi kabisa baada ya kumaliza bao la kwanza.
Hapo hapo ukawa mwanya kwangu wakuweza kumjua vizuri kupitia cmu yake kwani nilianza kuifungua kwa upande wa meseji, nilikutana na meseji za ajabu ajabu nakati ya hizo nyingi ni za wanaume tena zile za mapenzi hivyo nikamgundua helleiner ni Play gal tena yule asiyeshikika,hapo hapo kwa hasira nikamwamsha kisha nikaanza kumchezea mwili wake huku nikitaka ku sex kwa bao la pili,
"...mtoto mzuri kama huyu c wakutumia condomu kabisa.."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikianza kusex tena bila ya condom,
"jef pliz usikojolee ndani pliz.., pliz.., uhhf.., uhhf.., uhhf..!"
"yeh..! noo..! noo cwez baby cwez ohh..! ohh..! ohh my God..."
"nilijikuta utamu umenizidia nakuachia bao humo humo ndani.
"no no jef, umekojoa...?"
"yeah dia..!"
"whaaaaaaaaaaaaat....?"
"no way out sweetie nimekojoa ndani...!"
Helleiner alionesha kuchanganyikiwa huku akiwa hajielew elewi dizaini kama alikuwa na presha coz jasho la ghafla lilimtawala,
"jef jef ushanipa mimba.., mimba jef seriouz.."
"unasema...?"
"jef nipo kwenye hatari na umekojolea ndani ohh..! ohh..! ohh...!"
Aliendelea kulalamika huku kijasho chembamba kikizidi kumtoka mpaka akapoteza fahamu nakuzimia pale pale.
Nilianza kumpepea bila mafanikio nikamvalisha nguo nakukimbia nje kuita tax nimkimbize hospitali ile nafika tu mlangoni nafunguo uso kwa uso na Jacky tena akionesha ana hasira,
"namtaka huyo anayejifanya kijike kwa waume za watu..?"
"mbona hakuna mtu kwan vipi...?"
Jacky hakuelewa chochote zaidi ya kuelekea chumbani nilipomuacha helleiner kazidiwa..
Nilimfuata jacky kwa nyuma mpaka chumbani na nilipoingia tu helleiner akawa kashazinduka,
"jef jef umenipa mimba..? jef nitasema nini nyumbani jef...? Cjawah kutoa mimba nitakufa jef..?"
"ufe tu mbwa we...?"
Aliropoka jacky huku akiachia fyonyo kali nakuanza kumburuta helleiner pale kitandani huku akiwa uchi wa mnyama,
"jacky mwacheeee...."
"simwachi...!"
Jacky alizidi kumburuta helleiner mpaka sebuleni
"...haya chukuwa vinguo vyako uvae na uondoke hapa..."
Jacky alimwambia helleiner kwa hasira kubwa,
Sikuwa na akili yoyote yakumtetea kwani wote nilikuwa nawapenda hivyo nilimshuhudia helleiner akivaa nguo zake kisha akaniangalia kwa macho ya ukali na yenye machozi,
"jeff najutia kuwa na wewe, najutia hata kuja hapa,sirudii tena...."
¤¤¤¤¤¤¤¤
Ile nakuja kushtuka kumbe mda wote nilikuwa ndotoni tena zile ndoto za mchana, nakumbuka nilipoachana na helleiner tu pale mgahawa wa facebuk nilirudi zangu nyumbani kwetu peke yangu huku nikiwa na furaha ya ajabu kukutana na mtoto mzuri wa facebuk 'helleiner',
Nilipofika tu nyumbani usingizi ukanishka ile nakuja kushtuka eti nimeshafanya sex na helleiner tena mpaka jack akatufamania duh ndoto nyingine bwana,
"dah natamani ingekuwa kweli ile ndoto..."
Nilijisemea kimoyo moyo huku nikivuta simu yangu tayari kwa kuchati na helleiner.
'Hujafika tu home..? Mbona hujaniambia jaman..'
Ndani ya muda mchache akanijibu.
'jeff sorry nilipitia kwa rafiki yangu so sa hivi ndo naelekea nyumbani
'...jamani ukifika uniambie..'
'pwaa...!'
Nilikuwa nafuraha kwani niliamini kwa asilimia zote mtoto ataingia laini tu.
Nilichukuwa simu yangu nakuingia facebook tena kwa kuchat na marafiki, nilipoingia tu nikakutana na status ya 'Michelle mwavua' iliyokuwa inasema hivi,
'NATAFUTA MWANAUME ALIYETULIA, NILIYENAE AMENICHOSHA...'
Niliguna kwanza kisha nikafungua info yake kujua mambo yake,sikuweza kutambua umri wake lakini sehemu aliyokuwa anaishi ni mabibo na kazi anafanya kama modelling.
Yap,hapo hapo nikaingia kwenye meseji nakumu inbox,
'...UKO SERIAZ...?'
Nilipomaliza tu nikaingia kwenye profile yangu nakubadilisha picha yangu nakuweka ile ya u handsome haswaa niliyopiga photo point.
Ndani ya muda mchache nikajibiwa,
'..KWELI KABISA NIPO TAYARI KWA YEYOTE..'
Sikutaka kuchelewesha kabisa zali kama hili pale pale nikamtumia number zangu za simu.
'0713133633'
Nikaendelea na mambo mengine ya kutafuta mwingine kati ya marafiki zangu,nikiwa bado naperuzi mara meseji ikaingia kwenye simu yangu hapo hapo nikaifunga facebuk nakuanza kufungua sehemu ya meseji huku nikiwa namzuka wa hali ya juu nakuamini huenda atakuwa ni huyu michelle niliyemwachia number yangu ya simu ile nafungua tu.
'...Nimefika salama jeff, have a g9t...'
Nilinyong'onyea kwani alikuwa ni helleiner,ikanibidi nipige msosi wa ucku kisha nikalale,nikiwa kitandani natafuta usingizi wazo likanijia la kumchokoza helleiner,
'miss u helleiner..!'
'me 2...'
'i wish culd be there..!'
'jeff...?'
'real dia...'
'ok me too...'
'can i kiss u thru sms...?'
'yeah u can..!'
'waaoh.., mwaaaaaaaah..'
'mwaaaaah tøo...!'
Hapo hapo ukawa mwanya wa wakumpigia cmu..,
"hallow helleiner..?"
"yap jeff..."
"sijaridhika na busu la sms.."
"jeff acha vituko bhana.."
"jaman pliz niko seriaz.."
"ok, mwaaaaaah.."
"thankx u nakupenda friend.."
"usijali hata mi nakupenda rafiki yangu.."
Anajifanya nayeye ananiita rafiki siyo ngoja nimbadilishie mada,
"helleiner..?, ujue nashindwa kulala coz of u...?"
"jeff..? Kwani nimekufanyaje mpaka usilale...?"
"nashindwa kuzuia hisia zangu kila ninapochati na we, nimetokea kukupenda seriaz toka tulipoachana pale mgahawa wa facebuk..."
"jeff ni mapema mno kusema hivyo na hata kukubalia..."
"kumbuka hisia ni kitu ambacho hakizuiliki..."
"ok.., Tutaongea siku nyingine..."
Yap...,keshajileta mwenyewe huyo hapa nikummega tu kwenda mbele then tupa kule.
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikijiwekea uhakika asilimia mia nishampata.
"jeff..., nina dada yangu anataka akusalimie..."
"pouwa...!"
"mambo jeff..."
"pouwa.., unaitwa nani jamani...?"
"naitwa miche.., au ukipenda michelle mwavua ni pacha wake na helleiner..."
"mhh.., mhh.., mhh.., umesema unaitwa..?"
Nilikuwa sijiamini amini kama tayari nimeshaharibu jeff mimi kwani muda si mrefu nimetoka kumwachia number yangu demu wa facebuk anaitwa michelle mwavua,
"we si Jeff Ryder...?"
"hapana.., mi naitwa jeff ramso..!"
Nilimdanganya nione atasemaje,
"we jeff ryder bhana wa facebuk.."
Nguvu ziliniisha nakuona sasa ntakuwa nimeshawapoteza wote tena kumbe ni ndugu na ni mapacha duh..
"Jeff...?"
Kwa aibu kubwa ilinibidi nikate kwanza simu huku nisielewe nifanye nini.
Haikupita muda cmu tena ikaita kucheck jina ni ya yule yule helleiner, kiukweli nilitamani u play boy wangu uishie hapo hapo,
"aaah.., mi ndo jeff ryder bhana sishindwi chochote hapa..."
Nilijipa moyo nakupokea huku malengo yangu yakiwa katika uongo kwa kwenda mbele,
"yap.., helleiner...!"
"mbona ulikata simu jef...?"
"amm.., mhh.., mhh.., nadhani ni network c unajua tena tiGO inavyosumbua..."
"ok..,endelea kuongea na dada michelle..."
"yap.., mambo tena miche...!"
"pouwa...,embu niambie vizur jeff maana tunabishana hapa na helleiner..."
Kabla hajaendelea kuongea nikaanza kusisimka huku meno yakiumana na mapigo moyo kwenda fasta ile kishenzi..,
"enhe niambie kitu gani hcho...?"
"eti ile picha uliyoweka kwenye facebuk ni wewe...?"
"ndio mimi kwani vipi...?"
"tunabishana sana na helleiner mi bado hata siamini kama ni wewe"
"kwani helleiner kakwambiaje..."
"kaniambia leo umeonana naye na ni wewe kabisa, kama ni kweli jeff we ni bonge la handsome..."
"thanx miche..."
"ok,can i say g9t...?"
"no.., no.., no.., niambie unatumia jina gani facebuk...?"
"hellanie mganga.."
"heee..! majina yanafanana na la mwenzako...?"
"yeye si anatumia helleiner mganga..."
"..ok mi nilidhani unatumia michelle mwavua..."
"mhh hapana ilo jina nilitumia shule huwa silipendi kulitumia..."
Ilinibidi nishushe pumzi nakuamini kuwa siye michelle yule niliyemdhania.
"ok nipe helleiner niongee naye..."
"pouwa..."
"hellow ryder..."
"mh una swaga na wewe,ok mambo niaje mtu wangu..."
"kawaida tu"
Ok karibu tulale helleiner"
"mh tanx dia"
"lini tutaonana tena helleiner manake dah sijakaa sana na we then nahitaji tuongee sana na wewe..."
"mayb next wikiend niambie wapi...?"
"bt this time ningependa twende beach au wewe hupendi...?"
"mh napenda..."
"ok jumamoc basi tutaenda.., mida ipi unapenda..?"
"jeff mi napenda kuanzia mchana..."
"pouwa kuanzia sa 6 basi jiandae tutaondoka"
"sawa jeff najua nita enjoy vya kutosha.."
"we acha tu mi mwenyewe napenda hata ingekuwa ni kesho..."
¤¤¤¤¤¤¤¤¤
Leo ni alhamis na nisiku kama tatu zimepita tangu nichat na helleiner pia ninamuda mrefu sijaingia facebuk hivyo ngoja nifungue nakuanza kuperuzi,
Ile naingia tu nakutana na inbox kama 3 huku nikiwa na furaha ya ajabu sikutaka kupoteza muda kabisa nilizama kuichek na kwa bahati moja ilikuwa ni ya michelle yule niliemtumia namba yangu ya simu,na kwa muda huu alikuwa amenitumia namba yake ya simu '0718334141'
Fasta fasta nikampandia hewani ili kujua kama ni ya kweli au la.
"hallow..."
"yap nani mwenzangu...?"
"...Unaongea na jeff ryder wa fabebuk.."
"Ahh...! mambo jeff"
"Safi tu..,vipi ile status yako iliishiaga wapi vile..?"
"ipi tena jeff..?"
"si ile ya kutafuta mtu wa kuishi naye..?"
"anhaaaa...! we jeff nawe hutaniwi tu...?"
"jaman kweli mi mwenyewe nipo alöne na nilikuwa nahtaji mtu wa karibu wa kuniliwaza...!"
"usijari utampata tu..."
"si ndio wewe jaman...?"
Mara simu ikakatika kucheck vocha ikawa imeniishia hvyo sikuwa na ujanja zaidi yakukopa tigo then nikamtwangia tena.
"michelle nakuomba kesho tukutane japo nikusalimu ntaridhika..."
"mh, kwa kesho nitakudanganya tufanye jumamosi..."
"...Mh niliguna huku nikiamini jumamosi nina appointment na mtoto helleiner..
"haya jumamosi iwe mida ya asubuhi coz mchana nitakuwa bize mpaka jioni.."
"ok but tuonane wapi jeff...?"
"njoo magomeni ukianza safari uniambie ili nikuelekeze vizuri..."
"..ok pouwa jeff"
~ JUMAMOSI ~
Tayari nilikuwa nimeshazitengeneza appointment mbili yakwanza ni ya mtoto michelle na nyingne ni ya helleiner, mzee ile asubuh asubuh nikahakikisha cmu yangu iko full chaji na full mavocha then nikajipigilia haswa haswa full kuoga mapafyumu mwili wote.
Ilipotimia tu mida ya saa tatu nilikuwa mtu wa kwanza kumtumia meseji michelle,
"vipi umeamkaje miche...?"
"safi tu..."
"vip ushajiandaa...? Mwenzio nakusubiria huku..."
"ndo nataka kuingia bafuni nikianza safar ntakushtua..."
"pouwa..."
Nikamweka sawa na helleiner..
"hey helleiner...?"
"yap jeff upo...?"
"nipo yan full kukuwaza naona kama muda hauendi vile..?"
"jef kwa vituko..? Ok mi mwenyewe muda c mref naanza kujiandaa usijari"
"pouwa pouwa utanitaarifu..."
Nikajipigilia chai kila kitu nilipomaliza tu kuchek muda tayari ni saa nne na nusu,mara sms ikaingia kuchek kumbe ni michelle,
"nakaribia magomeni natokea mabibo huku niambie nishukie wapi...?"
"shuka magomeni mapipa utanikuta stendi nimevaa shati la mistari meusi na meupe na suruali nyeusi chini raba..."
Fasta fasta nikaelekea kwa mshikaji kuchukuwa ufunguo na nilipotoka pale nikakimbia kituoni huku nikijificha nisionekane kwanza mpaka nimjue yupoje,ndani ya nusu saa nikapigiwa simu na huyo huyo michelle,
Kabla cjapokea nikaangaza huku na huku kumuangalia jinsi alivyo.
"...nimeshafika uko wapi sasa jeff...?"
Nilivyomchek tu nikakata simu nakuizima kwani dah alikuwa si mtu wakawaida.
"...ama kweli facebuk...?"
Nilijisemea kimoyomoyo huku nikijiondokea kwani huyo michelle mwenyewe ungemuöna sura yake ungecheka tu, kama dume vile tena limejazia,na ile picha aliyoweka facebuku siyo ya kwake.
Nilinyong'onyea mwili wote huku nikikasirika kwa kupoteza muda wangu hapo hapo nikaondoka zangu.
"..labda amsubiri jeff mwingine siyo mimi.., anahadhi yakuwa na handsome kama mimi..? wacha lisubiri mpaka lichoke litaondoka tu..."
Niliongea kidharau uku nikijiondokea.
Nikiwa njiani mara nikapata wazo la kuiwasha simu isije akawa helleiner anitafuta,nilipoiwasha tu ikaingia sms,nikaanza kuzubaa huku nikiisoma kwani ilikuwa inatokea kwa helleiner,
"sweety nimeshamaliza naelekea kupanda daladala vipi nishuke wapi..?"
Nikamjibu fasta fasta,
"shuka hapa magomeni mapipa nakusubiria"
"pouwa pouwa nipe dakika kama 10 kwani natokea mwananyamala"
"ok pouwa"
Furaha kubwa ikanitawala coz mlimbwende wangu helleiner alikuwa njiani anakuja hivyo wazo la michelle sura mbaya likafutika, nikiwa bado maeneo ya pale magomeni mapipa mara nilishangaa naguswa mabegani ile nageuka nyuma yangu,
"jeff unakwenda wapi sasa..? Nakupigia simu hupatikani mpenzi..?"
Oooh my God, alikuwa ni Michelle sura mbaya na aliniona nilipokuwa...

***** je ni kweli Michelle sura mbaya ndiye aliyekutana na Jeff? Jeff atafanyaje na u play gal wake kwa msichana mbaya kama Michelle sura mbaya..??

**** Itakuwaje kama Atafumaniwa hapo alipo na Helleiner..? Nini hatma ya Jeff Ryder katika simulizi hii tamu..??

**** Endelea ku Like, ku Comment hata ku Share Simulizi hii ili na wenzako nao wapate uhondo kama unavyopata wewe..

**** ANGALIZO***
Simulizi hii itaendelea mpaka mwisho na kwa wale ambao watakuwa tayari hata sasa kuipata simulizi hii ikiwa mwanzo mpaka mwisho wanaweza kupata hata sasa kwa gharama ya shilingi 2500/= tu..
Tigo pesa; 0713133633 andrew Andrew, Voda m-pesa: 0758 211153

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top