Akiwa katika kipindi chake cha mahaba kinachoanza saa 4 usiku hadi saa 6.00 usiku akiongea na msanii wa tasnia ya maigizo Mr Chuzi kwa njia ya simu usiku wa kuamkia Alhamis ameonyesha udhahifu wa kujigonga kwa msanii huyo.
Sheila alipo mpigia simu ili amhoji na baada ya Mr Chuzi kupokea simu alianza kumbembeleza mara mbili mbili jamaa akubali kuwa anasauti nzuri ya kuvutia wanaume “ Mr Chuzi sauti hii unaifananisha na ya nani eheee, unaisikiaje” ni maswali aliyoulizwa jamaa naye bila iyana akajibu kawaida , katika mahojiano yao yalivokuwa yakiendelea hewani yalizidi kuonyesha mtangazaji huyu kujinogesha kwa Mr Chuzi
Hebu msikilize hapa chini\SOURCE: MBONDELEWIS BLOG
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.