M 2 THE P ASHINDWA KUONGEA KITU KWENYE USIKU WA NGWAIR. HIKI NDO ALICHOWEZA KUSEMA

clip_image001Msanii wa hip hop M 2 the P ambae ni rafiki wa Marehemu Albert Mangwair alias CowBoma jana alishindwa kuongea kitu katika USIKU WA NGWAIR uliofanyika CITY CENTER(Samaki Samaki).

Sababu ni kwamba M2-THE-P anaumia sana kila inapofikia hali ya kumkumbuka swahiba wake Mangwair,

“Habari, am so happy kuwaona mkit-show real luv kwa mshikaji(Ngwair) siwezi kuongea kitu ila na ushukuru Uongozi wa Samaki Samaki kwa kusimamia event hii pia nawashukuru wadau wote mliohudhuria katika USIKU WA NGWAIR peace and luv to him”.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post